Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Baada ya kutumia Samsung muda mrefu nimewiwa kujaribu na iPhone.
Ningependa kuanzia na iPhone 15 Plus yenye GB 128
Nataka nioneni nini kinachofanya wadada wachizike na hizi simu,nataka nione ni nini kinachowapa mvuto wanaume wanaotumia simu hizi hadi kuweza kuwang'oa kirahisi wadada wa kibongo
Nikishagundua kilicho nyuma ya mtanziko huu narudi zangu kuendelea na bebi wangu Samsung S20 Ultra
Natanguliza shukrani