Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 409
- 598
Jaribu maelekezo ya Paco anthony for samsung.Habari za usiku wakuu...
Naomba niende kwenye maada moja kwa moja..
Nimekua na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu..
Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa anayezifaham naomba tushee kidogo..
Bado sijanunua..simu ndo nataka nijaribu kununua oppo ila naona zimekua nyingi na bei no cheap sanaUmeliwa mzee
Ngoja nitest kwa samsung maana ndo natumiaKwa Samsung ni nyota,reli sifuri nyota,reli #0# then itakuja vitu kibao ww cha kufanya tach sehemu iliyoandikwa senser then tach kipande furani hiv cha image utakaona kapicha cha mbwa ...hiyo picha ndo utambulisho wa original kwa samsung
grassCooldown vuta grass ya maji itumbukize utajua tu
Hakuna KituNgoja nitest kwa samsung maana ndo natumia
Imekuwaje?Ngoja nitest kwa samsung maana ndo natumia
Mbona haikubaliKwa Samsung ni nyota, reli sifuri nyota, reli #0# then itakuja vitu kibao wewe cha kufanya tach sehemu iliyoandikwa senser then tach kipande furani hiv cha image utakaona kapicha cha mbwa ...hiyo picha ndo utambulisho wa original kwa samsung
FakeMbona haikubali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fake
Mimi nimejaribu kwenye tablet yangu ya Samsung na imekubali, Nimemuona huyo mbwaKwa Samsung ni nyota, reli sifuri nyota, reli #0# then itakuja vitu kibao wewe cha kufanya tach sehemu iliyoandikwa senser then tach kipande furani hiv cha image utakaona kapicha cha mbwa ...hiyo picha ndo utambulisho wa original kwa samsung
Hahhaha aiseeMimi nimejaribu kwenye tablet yangu ya Samsung na imekubali, Nimemuona huyo mbwa
Leo pia nimejaribu kwa jamaa yangu anayetumia Samsung Galaxy S8, imekubali piaHahhaha aisee
Screen shotMimi nimejaribu kwenye tablet yangu ya Samsung na imekubali, Nimemuona huyo mbwa
Na kicheko kikakutoka mnapenda kuona watu wakifeli huyo hapo ,,, karibu ulingoni s22 ultra , 5 g ram 12 /256 ,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliwapima iman nyie ,,Fake
Ukitaka kujua kama simu unayotumia ni fake au original ingia kwenye tovuti ya info IMEI utaweza kuweka IMEI namba ya simu yako ukiona IMEI namba yako imekuja simu nyingine tofauti na simu yako jua umepigwaHabari za usiku wakuu...
Naomba niende kwenye maada moja kwa moja..
Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu..
Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa anayezifaham naomba tushee kidogo..