Kumbushia tena huu ndio muda mzuri maana kuna kazi inatarajia kuanzaNitaomba Mkuu, nishawahi kupeleka CV pale
Nikuweke YARPI MARKEZI ujenge reli au wewe unataka kujenga marosheni tu?Wakuu wenye connection katika kampuni za kichina zenye miradi mbalimbali Mhandisi nakuja kwenu...
CCE wamepewa kipande cha Isaka to Mwanza, SGR Mungu akubariki hufanikishe hitaji lako ila usitusahau tukija kwenye kazi zetu za vibarua/laborNitashukuru Mkuu, nipo Flexible mi ni Engineer wa ujenzi, iwe marosheni, Barabara, Reli, Bwawa Chochote kile cha Ujenzi ujuzi ninao
Weka mawasiliano yako bana unasumbua waajiri wakoNitashukuru Mkuu, nipo Flexible mi ni Engineer wa ujenzi, iwe marosheni, Barabara, Reli, Bwawa Chochote kile cha Ujenzi ujuzi ninao
hakuna cha ajabu hapo hali halisi unaiona hata ukisema ajiaajiri bado mifumo sio rafiki kwa sasa. Ajira binafsi zinaishiwa pumzi sasa lazima angaze kwenye ahueni.
Waambieni vijana hawa huku mtaani hakuna cha mwandisi, mwalimu, daktari ..wote bila bila hivyo wapunguze nyodo mana wanajikuta wanasoma masomo magumu eti wanadanganyana yana ajira[emoji2][emoji2][emoji2]hakuna cha ajabu hapo hali halisi unaiona hata ukisema ajiaajiri bado mifumo sio rafiki kwa sasa. Ajira binafsi zinaishiwa pumzi sasa lazima angaze kwenye ahueni.
Mkuu kwa uzoefu wako unaweza kuomba hata nje ya bongo. Jaribu nchi za mashariki ya kati, hata ulaya ..utafanikiwa tu ..usiangalie sana hapa nyumbani..Upo sahihi Mkuu
Nimepokea ushauri Mkuu, nitaufanyia kazi ahsante sana. Tupeane hata kazi za kuchora ramani za nyumba binafsi kama zitapatikanaMkuu kwa uzoefu wako unaweza kuomba hata nje ya bongo. Jaribu nchi za mashariki ya kati, hata ulaya ..utafanikiwa tu ..usiangalie sana hapa nyumbani..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app