Kwetu Tunduru
Member
- Feb 7, 2023
- 16
- 57
Hiyo pesa ya kiingilio jitahidi uijazie uende NIT ukasomee udereva wa malori.Wakuu habari zenu,
Hongereni na majukum na poleni kwa yale magumu yanayotuandama.
Nimekuja kwenu wakulungwa. Kama Kuna dereva wa hizi gari kubwa, au kwa namna yoyote unahusika na hizi gari kubwa Kama msimamizi, dalali au vinginevyo, basi naomba unisaidie connection ya utingo hata Kama kutakuwa na kiingilio kidogo niko tayari kuchangia.
Lengo ni kuwa dereva wa gari hizo, ada ya veta Sina ndio maana naomba kuwa tingo wakulungwa.
Nawasilisha.
Hivi umemuelewa mleta mada aisee? anaomba kazi ya kua utingo ili apate hela ndio ajazie halafu ndio aende huko NIT.Hiyo pesa ya kiingilio jitahidi uijazie uende NIT ukasomee udereva wa malori.
Sasa hivi bila cheti cha NIT hupati Leseni has a za mabasi na hayo malori.
Hakuna short cut kwenye maisha, lielewe hili vizuri.
Soma tena alichoandika, usipoelewa basi wewe ndio una shida.Hivi umemuelewa mleta mada aisee? anaomba kazi ya kua utingo ili apate hela ndio ajazie halafu ndio aende huko NIT.
Onyesha alipotaka short cut kwenye maisha,Hakuna short cut kwenye maisha, lielewe hili vizuri.
Mkuu Matola NIT pale anatakiwa dereva ambae tayari yuko competent sio anaejifunza.isitoshe,tofauti na veta hiyo ya kihonda hapo Morogoro ndio wanafundisha kiasi hizi gari kubwa ila hata hivyo nao baadae wanakutafutia mtu wa transit au unatafuta mwenyewe.Hiyo pesa ya kiingilio jitahidi uijazie uende NIT ukasomee udereva wa malori.
Sasa hivi bila cheti cha NIT hupati Leseni has a za mabasi na hayo malori.
Hakuna short cut kwenye maisha, lielewe hili vizuri.
Umefafanua vizuri mkuu shukrani.Onyesha alipotaka short cut kwenye maisha,
Mtu anatafuta kazi ya utingo,yupo tayari hata kutoa visent alivyonavyo ili apate hiyo kazi kisha apate hiyo hela ya kwenda huko NIT kisha wewe unamwambia hakuna short cut! punguza ujuaji jomba.
NIT hawafundishi kuendesha gari bali wanakutest kama unajua kuendesha gari then wanakupiga msasa hasa kwny suala la sheria za usalama barbaran, driving philosophy etc. Hvo yaaaanHiyo pesa ya kiingilio jitahidi uijazie uende NIT ukasomee udereva wa malori.
Sasa hivi bila cheti cha NIT hupati Leseni has a za mabasi na hayo malori.
Hakuna short cut kwenye maisha, lielewe hili vizuri.