Naomba connection ya kazi

Naomba connection ya kazi

John_Anthony

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2024
Posts
290
Reaction score
460
Jaman wana JF mwenye connection ya kazi naomba kuunganishwa tafadhari, nimejaribu kuomba kazi viwanda kadhaa hapa mbeya lakini hakuna mafanikio yoyote, kama kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana 🙏
 
Njoo Tanzania mkuu!
Mikoani siyo Tanzania 😎
Karibu bongo Daresalam
 
S

Sasa huko sijawahi fika mkuu wala hakuna ndugu huko 😇
Wewe njoo tu, yaani kama ulivyotoka tumboni mwa mama na kuja duniani, ndiyo hivyo hivyo toka Mkoani njoo Tanzania, Bongo Daresalam 😎
 
Elezea vizuri aina gani ya kazi wataka

Elimu yako ,

Umri

Namba ya simu

Be specific mr
 
Back
Top Bottom