John_Anthony
JF-Expert Member
- Mar 27, 2024
- 290
- 460
Njoo Tanzania mkuu!
Mikoani siyo Tanzania π
Karibu bongo Daresalam
Wewe njoo tu, yaani kama ulivyotoka tumboni mwa mama na kuja duniani, ndiyo hivyo hivyo toka Mkoani njoo Tanzania, Bongo Daresalam πS
Sasa huko sijawahi fika mkuu wala hakuna ndugu huko π
ππWewe njoo tu, yaani kama ulivyotoka tumboni mwa mama na kuja duniani, ndiyo hivyo hivyo toka Mkoani njoo Tanzania, Bongo Daresalam π