Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwanza katafute mganga kwanza mzuri wa pwani akuzindike .kisha wa mkoani hasa sengerema nae akuzindike ndo ukavue .hainaconnection ni kazi ngumu kuliko kuchimba vyoo ukisema unataka pale ferry umepataWazee naomba mtu yoyote anaejua au anandugu ambae anavyenzo vya uvuvi naomba anipe fursa hiyo nipo dar ...
Mkuu uvuvi utaweza ngugu yangu sio kazi raisi kama unavyo fikiri.Mimi niko huku lakini kati ya kazi ambazo naziogopa ni iyo.Wazee naomba mtu yoyote anaejua au anandugu ambae anavyenzo vya uvuvi naomba anipe fursa hiyo nipo dar ...
Kila sehem inaitaji connection unafikiri hizo Bahar ,maziwa,mito yapo tu bila kusimamiwa pale tu ferri huwez ingiza mtumbwi wako kiholela mtu akiuliza jambo jaribu kujibu kama mtu mzima kidogoKwamba mpaka kuvua samaki inahitajika connection [emoji23][emoji23]embu kuwa serious kidogo..