Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kutakuwa kuna upigaji sana!TFF kuna nini mbona kunapendwa sana?
Kiongozi bora wa TFF alikuwa Tenga peke yake. Wengine wote wa kabla na baada, walikuwa weziwezi. Ndolanga, Malinzi na Msomali KariaTFF kuna nini mbona kunapendwa sana?
Uko sahihi! Tenga alikuwa na uwadilifu wa kimichezo!Kiongozi bora wa TFF alikuwa Tenga peke yake. Wengine wote wa kabla na baada, walikuwa weziwezi. Ndolanga, Malinzi na Msomali Karia
Hiyo CV ataipata wapi na wakati ni Mhamiaji haramu kutoka Somalia, aliyejipenyeza ccm na mwisho wa siku kuibukia kwenye Shirikisho letu la Mpira wa miguu ili kupiga hela za viingilio, Wadhamini na zile zinazotolewa na FIFA na CAF!!!Habari.
Kuna mambo yanatokea katika hili shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) yanabaki kushangaza umma kwa aibu...
Mkuu hongera kwa tano bila kwa siku ya jana.[emoji23][emoji23][emoji23]Yanga bwana! Mmeshaanza. Mnatafuta visingizio vya 5-0 bila kesho Julai 03, mseme Karia kasababisha.
Acha mpira uchezwe.......... Wahuni na watu wa migogoro hawana nafasi tena
Hongereni ...tunawasubiri KigomaMkuu hongera kwa tano bila kwa siku ya jana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yanaharibika mapema hivi.Jua tu kwamba ni Msomali
Karibu kilingeni kabisa.Nawekaa Kambi hapa.
Ki vipi Kiongozi?Mambo yanaharibika mapema hivi.
Wapiga deal na hawataki mtu from nowhere kuingia hapo wanataka uanze ndani ya TFF then uwe corrupted kama wao ndio wakupe nyadhifa za juu zaidi.TFF kuna nini mbona kunapendwa sana?
Rais pekee wa TFF alikuwa Leodgar Chila Tenga. Wa kabla na baada yake ni magenge ya wezi wasiokuwa na weledi wala akiliWapiga deal na hawataki mtu from nowhere kuingia hapo wanataka uanze ndani ya TFF then uwe corrupted kama wao ndio wakupe nyadhifa za juu zaidi.
Hili jina la Wallace ilikua je?Jua tu kwamba ni Msomali