Naomba Curriculum Vitae (CV) ya Wallace Karia, Rais wa sasa wa TFF

Naomba Curriculum Vitae (CV) ya Wallace Karia, Rais wa sasa wa TFF

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari.

Kuna mambo yanatokea katika hili shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) yanabaki kushangaza umma kwa aibu.

Sasa yanafanya mtu kujaribu kufatilia watu waliopo kwenye uongozi kufahamu CV zao.

Hebu tusaidieni CV ya Wallace Karia tumfahamu maana tunaweza kuwa tunamlaumu bure kumbe tunamuonea.

Maana soka la bongo linachafuliwa kweli kweli na nyundo ya FIFA ikitukosa tena basi tushukuru.
 
Kiongozi bora wa TFF alikuwa Tenga peke yake. Wengine wote wa kabla na baada, walikuwa weziwezi. Ndolanga, Malinzi na Msomali Karia
Uko sahihi! Tenga alikuwa na uwadilifu wa kimichezo!

Yes, he made a lot money; but without hurting anyone!

Bila kusahau kuwa alikuwa kiongozi wa mapinduzi yalimng'oa dictactor Ndolanga!
 
Habari.

Kuna mambo yanatokea katika hili shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) yanabaki kushangaza umma kwa aibu...
Hiyo CV ataipata wapi na wakati ni Mhamiaji haramu kutoka Somalia, aliyejipenyeza ccm na mwisho wa siku kuibukia kwenye Shirikisho letu la Mpira wa miguu ili kupiga hela za viingilio, Wadhamini na zile zinazotolewa na FIFA na CAF!!!
 
Yanga bwana! Mmeshaanza. Mnatafuta visingizio vya 5-0 bila kesho Julai 03, mseme Karia kasababisha.

Acha mpira uchezwe.......... Wahuni na watu wa migogoro hawana nafasi tena
 
Back
Top Bottom