Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 283
Anatekeleta Big Result Now au kikwetu Matokeo Makubwa sasa . Moja ya malengo ni kuongeza ufaulu wa kidato cha nne wanaoanza mitihani Jumatatu tarehe 4 Novemba.
We hufuatilii mambo?
Malasia walifanya hivi sasa wako mbali.
Chezea BRN wewe!!! Utashangaa
Jamaa kafanya vizur tena kisomi ukifatilia nchi zingine huo ndo mfumo wanaofanya.........manake Div 0 yaan mtoto alipata 0 kwa kila somo kitu ambacho c kwel na hakiwezekan miaka minne shule halafu motto asiambulie ata moja huo ni uongo na kuidhalilisha nchi iyonekane mambumbu......................................................................................
From division 0 to division 5, makubwa haya!CV yake inaanza na huyo Prof. na wenzake kutuletea DIVISION 5 chini ya mpango wa 'Cosmetic Surgery' ya DIVISION 0
Jamaa kafanya vizur tena kisomi ukifatilia nchi zingine huo ndo mfumo wanaofanya.........manake Div 0 yaan mtoto alipata 0 kwa kila somo kitu ambacho c kwel na hakiwezekan miaka minne shule halafu motto asiambulie ata moja huo ni uongo na kuidhalilisha nchi iyonekane mambumbu.....................................................................................Fine, kama nia njema ni hiyo, yaani ufanane na mifumo ya nchi za wenzetu sawa, lakini nini haki ya wadogo zetu waliotaga mayai( division 0) miaka ya nyuma? Watafikiriwa? Ingekuwa bora kama yangeandaliwa mazingira wakafikiriwa vijana waliomaliza sekondari angalau miaka mitatu nyuma matokeo yakawa revisited, hasa waliotaga!
ni mwalimu wangu mlimani huyo, alishakuwa dean wa faculty of law udsm. yuko vizuri kichwani.