Naomba CV ya Prof. Sifuri Mchome, nna Mashaka!!!!!!!!!

Naomba CV ya Prof. Sifuri Mchome, nna Mashaka!!!!!!!!!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
283
Ni baada ya Prof. Hamisi Dihenga kustaafu ndio huyu bwana, Prof. Mchome kashka usukani, katibu mkuu wa wizara ya elimu.....

Nipatiene CV yake nna waswas na maamuz yake.... Labda hafai kuwa pale!!!!!!!!!
 
ni mwalimu wangu mlimani huyo, alishakuwa dean wa faculty of law udsm. yuko vizuri kichwani.
 
CV yake inaanza na huyo Prof. na wenzake kutuletea DIVISION 5 chini ya mpango wa 'Cosmetic Surgery' ya DIVISION 0
 
Anatekeleta Big Result Now au kikwetu Matokeo Makubwa sasa . Moja ya malengo ni kuongeza ufaulu wa kidato cha nne wanaoanza mitihani Jumatatu tarehe 4 Novemba.
We hufuatilii mambo?

Malasia walifanya hivi sasa wako mbali.
Chezea BRN wewe!!! Utashangaa
 
Kwa kifupi, Prof.Sifuni Ernest Mchome amesoma humu:[h=1]Prof. S.E. Mchome, LL.B (Dar); LL.M. (Queen's); PhD. (Dar) Associate Professor. Amewahi kuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria,Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2006-2009),Katibu Mtendaji wa TCU,Mjumbe wa Bodi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu na sasa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu.[/h]
 
Anatekeleta Big Result Now au kikwetu Matokeo Makubwa sasa . Moja ya malengo ni kuongeza ufaulu wa kidato cha nne wanaoanza mitihani Jumatatu tarehe 4 Novemba.
We hufuatilii mambo?

Malasia walifanya hivi sasa wako mbali.
Chezea BRN wewe!!! Utashangaa

Jamaa kafanya vizur tena kisomi ukifatilia nchi zingine huo ndo mfumo wanaofanya.........manake Div 0 yaan mtoto alipata 0 kwa kila somo kitu ambacho c kwel na hakiwezekan miaka minne shule halafu motto asiambulie ata moja huo ni uongo na kuidhalilisha nchi iyonekane mambumbu......................................................................................
 
Wanaendelea kuizika taratibu elimu yetu...watu wabaya sana hawa
 
Jamaa kafanya vizur tena kisomi ukifatilia nchi zingine huo ndo mfumo wanaofanya.........manake Div 0 yaan mtoto alipata 0 kwa kila somo kitu ambacho c kwel na hakiwezekan miaka minne shule halafu motto asiambulie ata moja huo ni uongo na kuidhalilisha nchi iyonekane mambumbu......................................................................................

Walewaleeee
 
Professor Sifuni Mchome alikuwa mhadhiri Kitivo cha Sheria (enzi hizo). Ameshakuwa Dean of Faculty of Law. Ni msomi wa sheria aliyebobea. Yuko vizuri sana tu kichwani maana amenifundisha. Kinachoshangaza ni vipi ameweza kuwa sehemu ya haya maamuzi ya kijinga!
 
Jamaa kafanya vizur tena kisomi ukifatilia nchi zingine huo ndo mfumo wanaofanya.........manake Div 0 yaan mtoto alipata 0 kwa kila somo kitu ambacho c kwel na hakiwezekan miaka minne shule halafu motto asiambulie ata moja huo ni uongo na kuidhalilisha nchi iyonekane mambumbu.....................................................................................Fine, kama nia njema ni hiyo, yaani ufanane na mifumo ya nchi za wenzetu sawa, lakini nini haki ya wadogo zetu waliotaga mayai( division 0) miaka ya nyuma? Watafikiriwa? Ingekuwa bora kama yangeandaliwa mazingira wakafikiriwa vijana waliomaliza sekondari angalau miaka mitatu nyuma matokeo yakawa revisited, hasa waliotaga!
 
He has to be baptized as Sifuri ....... over what I heard over the news yesterday.
Very embarrassing!
What a hell is that polishing grades!
 
Mambo ya Education ni mambo ambayo yana taaluma yake ambayo ni tofauti kabisa na sheria!Hapo ndio makosa makubwa yanafanyika katika uteuzi wa watendaji wakuu wa wizara. Hasa makatibu wakuu.
 
Hapendi jina lake (sifuri) wapewe loosers so katafuta jina jingine (div 5)
By the way usitafute cv yake,tafuta wazazi wake wakuambie kwanini waliamua kumuita SIFURI (ZERO)
 
Back
Top Bottom