Naomba CV ya Prof. Sifuri Mchome, nna Mashaka!!!!!!!!!

Kuiga ni kitu chema ila kila kitu tuige kweli naamini hata kama ni usomi tunakoelekea siyo, kitafutwa ni kutoonekana zero wale doners wetu tu
 
Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.
 

Your right let them make noise! Na wengine wanapata O sio kwamba hawaji kitu kabisa
 
Tatizo la hii nchi kupeana vyeo kwa kulipana fadhira au undugu ndio maana kila cku hii wizara hina boronga. Kuna watu wanasifa za kuongoza lakini hawapewi nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…