Kitia JF-Expert Member Joined Dec 2, 2006 Posts 418 Reaction score 77 Oct 1, 2008 #1 Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za: 1. Aina ya matunda mbali mbali 2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu 3. Misimu ya kila aina ya tunda, hasa katika mikoa ya Morogoro, Pwani,Iringa na Tanga. Maelezo ya mikoa mingine pia kama yapo yatapokelewa. Wasiliana nami kupitia nasara.oy@gmail.com au tumia PM. Natanguliza shukrani
Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za: 1. Aina ya matunda mbali mbali 2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu 3. Misimu ya kila aina ya tunda, hasa katika mikoa ya Morogoro, Pwani,Iringa na Tanga. Maelezo ya mikoa mingine pia kama yapo yatapokelewa. Wasiliana nami kupitia nasara.oy@gmail.com au tumia PM. Natanguliza shukrani
LazyDog JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 2,473 Reaction score 199 Oct 1, 2008 #2 kitia said: Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za: 1. Aina ya matunda mbali mbali 2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu 3. Misimu ya kila aina ya tunda, hasa katika mikoa ya Morogoro, Pwani,Iringa na Tanga. Maelezo ya mikoa mingine pia kama yapo yatapokelewa. Wasiliana nami kupitia nasara.oy@gmail.com au tumia PM. Natanguliza shukrani Click to expand... Samahani, Nimeshindwa kuelewa, kwanini kwa njia hizo badala ya hapa upenuni? .
kitia said: Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za: 1. Aina ya matunda mbali mbali 2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu 3. Misimu ya kila aina ya tunda, hasa katika mikoa ya Morogoro, Pwani,Iringa na Tanga. Maelezo ya mikoa mingine pia kama yapo yatapokelewa. Wasiliana nami kupitia nasara.oy@gmail.com au tumia PM. Natanguliza shukrani Click to expand... Samahani, Nimeshindwa kuelewa, kwanini kwa njia hizo badala ya hapa upenuni? .
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Oct 1, 2008 #3 hana jipya aende wizara ya kilimo na ushirika