Naomba Data kuhusu Matunda

Naomba Data kuhusu Matunda

Kitia

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2006
Posts
418
Reaction score
77
Kama kuna mtu ambaye ana data,au anajua mahali ambapo naweza kupata data za:

1. Aina ya matunda mbali mbali
2. Idadi (quantity) ya matunda yapatikanayo kwa msimu
3. Misimu ya kila aina ya tunda,

hasa katika mikoa ya Morogoro, Pwani,Iringa na Tanga. Maelezo ya mikoa mingine pia kama yapo yatapokelewa.

Wasiliana nami kupitia nasara.oy@gmail.com au tumia PM.

Natanguliza shukrani
 
Samahani,
Nimeshindwa kuelewa, kwanini kwa njia hizo badala ya hapa upenuni?

.
 
hana jipya aende wizara ya kilimo na ushirika
 
Back
Top Bottom