Naomba dawa ya kumvuta nimpendaye

Naomba dawa ya kumvuta nimpendaye

Nikiongea mengi itakuwa uongo... we fanya hivi..
FEDHA.jpg


Halafu usisahau kupiga zile show kama derby ya simba na yanga.

Hadi anaingia kaburini hakusahau..
 
Nenda nae taratibu, usiwe na mapepe. If its real, it will stay
 
Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
Fedhaaaaa, kuna na fedhaaaaa, acha ujinga hakuna dawa nyingine dunia hii
 
Back
Top Bottom