Naomba dawa ya kumvuta nimpendaye

Nenda nae taratibu, usiwe na mapepe. If its real, it will stay
 
Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
Fedhaaaaa, kuna na fedhaaaaa, acha ujinga hakuna dawa nyingine dunia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…