resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Hapo kwenye WC na store.Hizo veranda 2 ya nyuma na mbele ninaplan kumwaga zege juu sio kuezeka!
Pia kama kuna makosa kuhusu mpangilio wa vyumba au choo, au jiko tafadhali toa ushauri wako!
Foor Plan yake ni hii hapa chini___View attachment 1874471
Kama hivi ee?Hapo kwenye WC na store.
Waweza kuweka WC. Then store ikakae kitchen.
Lkn pia .Muhimu ukaangalia namna ya kuiweka hiyo bedroom ilobanwa na WCs.
MFANO: waweza weka bedroom upande uloweka kitchen.ukaiondoa na kitchen verandah,ukaja kuviweka upande uliotoa bedroom.
Yes.Kama hivi ee?View attachment 1875066
Nashukuru sana kwa mawazo yako mazuriHapo shape nzuri .
Itakuja baada ya kuweka vipimo
Ramani kama ya dispensari ya kijiji. Wape pesa wataalamu wakuchoree ramani boraHizo veranda 2 ya nyuma na mbele ninaplan kumwaga zege juu sio kuezeka!
Pia kama kuna makosa kuhusu mpangilio wa vyumba au choo, au jiko tafadhali toa ushauri wako!
Foor Plan yake ni hii hapa chini:
View attachment 1874471
Yaan utoke na chakula jikoni upite toilet, na room ndo uende dinning? Hapana. Just google utapata plans nzuri sana.Kama hivi ee?View attachment 1875066
HahahaYaan utoke na chakula jikoni upite toilet, na room ndo uende dinning? Hapana. Just google utapata plans nzuri sana.
Afadhali ile ya kwanza. Naona ndg ndio unaanza mambo ya ujenzi na hauna ujuzi. Na pia kila fundi utakayekutana naye atakuambia anajua wakati hakuna kitu. Unaweza kuja kupigwa sana mpaka akili ikukae sawa. Ila jambo zuri umeshaanza kuweka mikakati. Usikate tamaa. Pambana kabisa na utatoboa tu.Kama hivi ee?View attachment 1875066
Hio nayo imekaa vizuri kabisa.Angalia hizi idea, ila nikushauri tu, hapo kwenye hiyo nyumba utakayojenga utatumia milioni kadhaa, sasa uache ubahiri wa kutafuta mtaalamu akusaidie, hii ni fani ya watu kaka, na pia msipende ramani za ku Google nyingi haziendani na maisha yetu
View attachment 1882388
View attachment 1882389
View attachment 1882390
Ila usiwakatishe tamaa watu kuhusu Google mkuu. Hata ww unajifunzia kupitia Google. Kwa hio ni vizuri mtu aingie Google na akiona haiendani na yeye si anaachana nayo tu?Angalia hizi idea, ila nikushauri tu, hapo kwenye hiyo nyumba utakayojenga utatumia milioni kadhaa, sasa uache ubahiri wa kutafuta mtaalamu akusaidie, hii ni fani ya watu kaka, na pia msipende ramani za ku Google nyingi haziendani na maisha yetu
View attachment 1882388
View attachment 1882389
View attachment 1882390