Naomba Design nzuri ya kisasa au hata mgongo wa tembo kuezeka nyumba ya Floor Plan hii

Naomba Design nzuri ya kisasa au hata mgongo wa tembo kuezeka nyumba ya Floor Plan hii

Ila usiwakatishe tamaa watu kuhusu Google mkuu. Hata ww unajifunzia kupitia Google. Kwa hio ni vizuri mtu aingie Google na akiona haiendani na yeye si anaachana nayo tu?

Kwa mtu wa kawaida mpaka ajue imekosewa anakua tayari kashajenga na kahamia, kuna vitu km privacy n.k huwezi forecast km huna uzoefu na ujenzi
 
Siku zote usiridhike mpaka upate plan. Binafsi hata nyumba nilizokwisha jenga.. nazibadilisha sana tu. Ali mradi uiamara uwepo

sketch-1628234303410.png
 
Siku zote usiridhike mpaka upate plan. Binafsi hata nyumba nilizokwisha jenga.. nazibadilisha sana tu. Ali mradi uiamara uwepo

View attachment 1882431
Plan yangu ni kuhakikisha jiko na toilets za master na public zinakuwa kwenye line moja , ili nipunguze plumbing costs .
Halafu master ni vema ikawa kubwa na choo
kiwe nje ya master ,
 
Plan yangu ni kuhakikisha jiko na toilets za master na public zinakuwa kwenye line moja , ili nipunguze plumbing costs .
Halafu master ni vema ikawa kubwa na choo
kiwe nje ya master ,
Unafikiria PVC pipes za inch 4 ni gharama? Kila moja ni shs 16,000 na ina 20 feet. Gharama ya jiko na bafu na vyoo iko kwenye materials za kukamilisha hicho choo chenyewe kwa ndani ikiwa ni pamoja na IPS pipes (bomba za ndani), valves, masinki, choo cha kukalia imara, heater ya maji ya moto, shower mixer, sink mixer, tiles etc. Watu tunapeleka septic line PVCs hata mita mia kadhaa kirahisi tu. Hio isiwe sababu ya kupata ramani mbovu eti ili hivyo vyote viwe laini moja
 
Plumbing.. yani mzunguko wa nje hapo kwa nyumba hio hata PVC pipes 5 ni nyingi sana. Chini ya tshs100,000. Nyekundu unatumia mix ya chambers na Elbow zenye cleanout plug. Kijani ni kuelekea septic tank. Chemba fundi yeyote wa matofali anaijenga na kuisiliba vizuri.. na mifuniko iko kibao ni shs 20,000 hivi.

sketch-1628237385914.png
 
Angalia hizi idea, ila nikushauri tu, hapo kwenye hiyo nyumba utakayojenga utatumia milioni kadhaa, sasa uache ubahiri wa kutafuta mtaalamu akusaidie, hii ni fani ya watu kaka, na pia msipende ramani za ku Google nyingi haziendani na maisha yetu

View attachment 1882388

View attachment 1882389

View attachment 1882390
Hii plan ina changamoto ndogo ndogo boss. Hizo bedrooms hazina pa kuogea. Kitchen na dining zinaonekana kukosa nafasi ya kutosha na bedrooms zimejibana sana bila kuwa na makabati. Plot ya 20x24 siyo ndogo kwa 3-bedroom, jaribu kuongeza ukubwa wa nyumba japo kidogo ili ijitosheleze. Binafsi napenda landscaping. Naona parking ya magari mawili tu imesababisha karibu eneo lote hapo mbele liwe paved.
 
Plumbing.. yani mzunguko wa nje hapo kwa nyumba hio hata PVC pipes 5 ni nyingi sana. Chini ya tshs100,000. Nyekundu unatumia mix ya chambers na Elbow zenye cleanout plug. Kijani ni kuelekea septic tank. Chemba fundi yeyote wa matofali anaijenga na kuisiliba vizuri.. na mifuniko iko kibao ni shs 20,000 hivi.

View attachment 1882519
Hapo kati ya Living room na dining hakuna usiri hapo ikitokea unadaiwa na mdai wako yupo sebureni utatokaje hapo,nashauri hapo kati ya living room na dining ukaweka ukuta kuwe na usiri alie sebureni asione dining ama jikoni,kwa wazungu sawa lakini sie wazaramo kuna tatizo hapo ndani,ila kwengine kote kupo vizuri
 
Ndio ujenzi wa sikuhizi. Watu hawapendi kuta nyingi.
 
Hapo kati ya Living room na dining hakuna usiri hapo ikitokea unadaiwa na mdai wako yupo sebureni utatokaje hapo,nashauri hapo kati ya living room na dining ukaweka ukuta kuwe na usiri alie sebureni asione dining ama jikoni,kwa wazungu sawa lakini sie wazaramo kuna tatizo hapo ndani,ila kwengine kote kupo vizuri
Kama ww binafsi unapenda ukuta.. basi unaweka tu. Ongeza tu huo ukuta kwenye mchoro. Ni kitu very simple. Mlango uweke kwa kona ili usipunguze nafasi ya sitting room ya makochi. Ukitaka na jiko pia unaliwekea ukuta na mlango. Hakikisha huo mlango unauweka kwa kona hapo upande wa kulia ukiingia jikoni tokea DR. Pia ujifunze kujiongeza. Kumbuka ramani ni foundational idea tu, ni muhimu kila mtu kufikiria outside the box na kuibadilisha vile unapenda ww

sketch-1628273490100.png
 
Hii nayo ni design mbovu kutokana na Lab ya masterbedroom kuwa mbele na ukuta wa kushota kuwa na madirisha nusu upande to; ni afadhali usiwe na madirisha kabisa au uwe na dirisha moja katikati
Ww plan yako iko wapi? Sio unakosoa tu vitu pasipo kutoa solution. Halafu umeona wapi room isio na madirisha? Dirisha of course litakuwa ktkt. Umeshaona kweli room ya dirisha pembeni?. Hio ilitokea baafa ya kukata rm kwa software wakati ninachora kubadili mfumo ila dirisha sikulihamisha. Kitu kidogo sana mtu unahaha kama mbwa mwitu.
 
Hukusoma hiyo solution niliyoweka? Unataka nikuambie fanya hivi, lakini mimi nimekuambia usifanye hivyo. Kazi kwako mwenyewe
 
Back
Top Bottom