wakati mwingine mtu huwa na vimelea vya huu ugonjwa na asioneshe dalili zozote maana kinga ya mwili inakuwa ikifanya kazi yake ipasavyo, sasa ikitokea akabadili mazingira, au staili fulani ya maisha hawa wadudu wanapata nafasi ya kuzaliana kwa wingi na mtu kujikuta anaanza kuonesha dalili za malaria...