Naomba elimu juu ya usambaaji wa malaria

Naomba elimu juu ya usambaaji wa malaria

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,141
Reaction score
2,388
Anopheles anaaminika ndie mbu jike anaeweza sambaza vimelea vya malaria, nataka kujua je inakuaje mtu anaishi mbali na makazi ya watu/porini lakin bado atapata malaria ili hali hakuna watu mwingine aishie huko na ugonjwa wa malaria
Je mbu anauwezo wa kusafiri umbali wa kutoka maeneo ya makazi ya watu hadi porini nakuambukiza mtu aishie huko.
 
wakati mwingine mtu huwa na vimelea vya huu ugonjwa na asioneshe dalili zozote maana kinga ya mwili inakuwa ikifanya kazi yake ipasavyo, sasa ikitokea akabadili mazingira, au staili fulani ya maisha hawa wadudu wanapata nafasi ya kuzaliana kwa wingi na mtu kujikuta anaanza kuonesha dalili za malaria...
 
Nashkuru unajarib kunielewesha, unachotaka kuniambia muda wote tunakua na vimelea hivi mwilini mwetu? Kama ni hivi naweza nikaamini ila kama sio hivi bado ntaona kuna tatzo
 
Back
Top Bottom