nerilan
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 454
- 691
Habari zenu wanajukwaa. ..
Kama kichwa hapo juu kilivyo, ningeomba utaalamu wenu katika jambo hili ili nami niweze kuelewa vizuri..
Pindi mtu anapoingia mkataba wa mkopo, akaanza kulipa lakini kwa namna yoyote ile akashindwa endelea kulipa katikati ya urejeshwaji wa mkopo, sheria inazungumza nini kuhusu mtu huyu?, je sheria inaruhusu mkopeshaji kuuza dhamana za mkopaji hata kama muda wa mkataba haujaisha na bila kutoa notice ya maandishi kwa mdaiwa?.. Naomba tuanzie hapo kwanza......
Shukrani