M Mr Mayunga JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 313 Reaction score 40 Mar 17, 2015 #1 Naombeni kujua kama mwezi (moon) unakua na sehemu maalumu yakutokea, mfano jua linatoka mashariki na kuchwea magharibi. Vipi kuhusiana na mwezi, je, kuna mwelekeo wowote?
Naombeni kujua kama mwezi (moon) unakua na sehemu maalumu yakutokea, mfano jua linatoka mashariki na kuchwea magharibi. Vipi kuhusiana na mwezi, je, kuna mwelekeo wowote?
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,595 Reaction score 3,670 Mar 24, 2015 #2 mwezi hata mm siulewagi kabisa yan
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,595 Reaction score 3,670 Mar 24, 2015 #3 siku nyingine unakua mkuubwa siku nyingine unakua nusu siku nyingine hauonekani kabisa
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Mar 24, 2015 #4 Dunia huzunguka jua wakati huo huo ikijizungusha kwenye mhimili wake wakati mwezi huzunguka dunia...
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Mar 24, 2015 #5 Elimu anga
Bravo H JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 221 Reaction score 88 Mar 24, 2015 #6 Unatokeza magharibi au kuhandama na kupotelea mashariki ila hiko kitendo kinachukua mwezi mzima