Naomba elimu kuhusu mwezi

Naomba elimu kuhusu mwezi

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Naombeni kujua kama mwezi (moon) unakua na sehemu maalumu yakutokea, mfano jua linatoka mashariki na kuchwea magharibi. Vipi kuhusiana na mwezi, je, kuna mwelekeo wowote?
 
siku nyingine unakua mkuubwa siku nyingine unakua nusu siku nyingine hauonekani kabisa
 
Dunia huzunguka jua wakati huo huo ikijizungusha kwenye mhimili wake wakati mwezi huzunguka dunia...
 
Unatokeza magharibi au kuhandama na kupotelea mashariki ila hiko kitendo kinachukua mwezi mzima
 
Back
Top Bottom