Habarini. Naomba kupata elimu ya kuweka "tinted" kwenye magari. Ni %gani zinafaa kwa vioo vya mbele na nyuma? Muongozo wa sheria za babarabarani zinasemaje kuhusu tints? Faida na hasara A tints ni zipi?
Achana na sheria, we weka tint ya % yoyote popote pale kwenye gari, as long as haikuzuii visibility hasa masaa ya usiku. Watunga sheria wenyewe wamepiga tint hadi vioo vya mbelee
Usiku KERO,side mirror hazionyeshi vizuri, mchana ukiwa ndani unaweza SEMA Kuna wingu la mvua ,,,kama Kuna zenye ubora tafuta siyo hizi za alfu tanotano