Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 324
- 649
Mkuu Elius W Ndabila , kwanza pole sana!, huwezi amini huu uzi ndio nimekutana nao leo, next time ukimtafuta mtu humu mtag.Ndugu yangu Pascal wa jf ninaomba nafasi ya kuonana na wewe. Nilianza kujifunza kuandika makala mwaka 2014 baada ya kuwa msomaji wa muda mrefu humu. Lakini nimekuwa impressed sana na uchambuzi wa Pascal ambaye ninatamani siku moja nionane naye ili niweze kumuuliza maswali kadhaa nami niweze kubobea kwenye tasinia hii ya kichambuzi.
Nitashukuru kama moderate utanisaidia kuutag ujumbe huu kwa Pascal.
Ndiimi
Elius Ndabila
Karibu Naomba fursa ya kuonana na Pascal MayalaHata mimi namtafuta huyu jamaa, ukimpata nishtue labda tunaweza kunywa gahawa wote kwa pamoja.
Mkuu,heshima yako.
Pascal mbona anapatikana [emoji1]Hata mimi namtafuta huyu jamaa, ukimpata nishtue labda tunaweza kunywa gahawa wote kwa pamoja.