Naomba haya maswali yajibiwe na INEC na NIDA kama kweli Polepole kasema uongo vinginevyo Inatia mashaka

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Nilimsikiliza vizuri Polepole aliposema mifumo ya CHAMA inasomana na Taarifa za NIDA na Tume ya UCHAGUZI

Baadae Tumesikia majibu ya kukanushwa Taarifa hiyo kutoka INEC na NIDA!

WAMEKANUSHA kwamba hiyo mifumo haisomani!

Majibu haya ndiyo yamenishitua kabisa kuliko hata TUHUMA za POLEPOLE!

TUKUMBUKE! Mifumo ya utambuzi wa kitaifa (Vitambulisho) wana sera ya kuja ku-weka katika kapu moja la utambuzi ( Identity Centralization).

Na kama mnakumbuka vizuri moja ya kampeni ya kuhamasisha watu kujiandikisha NIDA Walisema wazi wanampango wakupunguza mizigo ya vitambulisho ili kitambulisho kimoja tu NIDA (Kisomane na mifumo yote)

Sasa sijui hawa INEC na NIDA wakati wanmjibu polepole wameshau vipi hilo na kulikana jambo la wazi kama hilo!

Kama kweli mifumo ya NIDA na INEC na chama HAISOMANI

1. Ukienda TRA Leo na namba ya NIDA zile picha na majina yako wanayapataje?
2. Ukienda uhamiaji leo na NIDA majina yako na picha wanayapataje?
3. Ukienda TANESCO sahivi kuomba umeme kupitia mfumo wao mpya wa NIKONEKT kwa namba ya NIDA zile taarifa zako na picha ya Nida wanaipataje kama mifumo haisomani?
4. Ukifuatilia TIN n.k ile nida zile taarifa inapo retrieve kutoka NIDA huwa inachotaje kama mifumo haisomani?

Kama mifano hiyo michache inawezekana KUSOMANA

JE, ni Ajabu gani chama, INEC na NIDA waseme HAISOMANI?

Nani ambaye hajui kwamba taasisi huchota taarifa NIDA kwa faida zifuatazo?
1. Kupata usahihi wa majina

2. Kupata taarifa za idadi ya majina katika eneo fulani la makazi ili yaendane na idadi ya wapiga kura.
Mfano huwezi kutangaza idadi ya wapiga kura katika eneo lenye wakazi 500 ukasema kura zimepigwa 900!
Ni lazima upate taarifa za idadi, majina ili kuepusha jina moja kupiga kura marambili kwa kuwa na kadi mbili au zaidi za wapiga kura wenye jina moja na mtaa mmoja (double voting)

Mambo kama hayo pia yanasaidia chama kujua watu.

SWALI KWA INEC na NIDA

kama Polepole ni muongo!

1.Wale wajumbe wa ccm wanaopitaga nyumba kwa nyumba kuomba namba ya nida wakati wa uchaguzi na pengine wanazo tayali kila kata huwa wanazichukua kwa ajili ya matumizi gani?

2. Kama Polepole ni muongo je INEC wapo tayari kurekebisha sheria za uchaguzi ili ziwe za uwazi na wasizuie mawakala kwenda na simu, camera siku ya uchaguzi kama walivyopitisha kanuni ya kupinga hayo? Kipi kinafichwa kama MIFUMO HAISOMANI?
 
kama pole pole ni muongo!

2. Kama polepole ni muongo je INEC wapo tayali kurekebisha sheria za uchaguzi ili ziwe za uwazi na wasizuie mawakala kwenda na simu, camera siku ya uchaguzi kama walivyopitisha kanuni ya kupinga hayo? Kipi kinafichwa kama MIFUMO HAISOMANI?
Hakika
 
Hoja Yako in

Hoja Yako Ina mashiko sana!
 
Hivi ligi kuu inaanza lini tena!!
Yani kama Iko mbali inaweza hata kurudishwa nyuma ianze ili tubishanie Yanga na Simba.
Sisi ndyo waTZ
 
Nilimsikiliza vizuri Polepole aliposema mifumo ya CHAMA inasomana na Taarifa za NIDA na Tume ya UCHAGUZI

Baadae Tumesikia majibu ya kukanushwa Taarifa hiyo kutoka INEC na NIDA!

WAMEKANUSHA kwamba hiyo mifumo haisomani!

Majibu haya ndiyo yamenishitua kabisa kuliko hata TUHUMA za POLEPOLE!

TUKUMBUKE! Mifumo ya utambuzi wa kitaifa (Vitambulisho) wana sera ya kuja ku-weka katika kapu moja la utambuzi ( Identity Centralization).

Na kama mnakumbuka vizuri moja ya kampeni ya kuhamasisha watu kujiandikisha NIDA Walisema wazi wanampango wakupunguza mizigo ya vitambulisho ili kitambulisho kimoja tu NIDA (Kisomane na mifumo yote)

Sasa sijui hawa INEC na NIDA wakati wanmjibu polepole wameshau vipi hilo na kulikana jambo la wazi kama hilo!

Kama kweli mifumo ya NIDA na INEC na chama HAISOMANI

1. Ukienda TRA Leo na namba ya NIDA zile picha na majina yako wanayapataje?
2. Ukienda uhamiaji leo na NIDA majina yako na picha wanayapataje?
3. Ukienda TANESCO sahivi kuomba umeme kupitia mfumo wao mpya wa NIKONEKT kwa namba ya NIDA zile taarifa zako na picha ya Nida wanaipataje kama mifumo haisomani?
4. Ukifuatilia TIN n.k ile nida zile taarifa inapo retrieve kutoka NIDA huwa inachotaje kama mifumo haisomani?

Kama mifano hiyo michache inawezekana KUSOMANA

JE, ni Ajabu gani chama, INEC na NIDA waseme HAISOMANI?

Nani ambaye hajui kwamba taasisi huchota taarifa NIDA kwa faida zifuatazo?
1. Kupata usahihi wa majina

2. Kupata taarifa za idadi ya majina katika eneo fulani la makazi ili yaendane na idadi ya wapiga kura.
Mfano huwezi kutangaza idadi ya wapiga kura katika eneo lenye wakazi 500 ukasema kura zimepigwa 900!
Ni lazima upate taarifa za idadi, majina ili kuepusha jina moja kupiga kura marambili kwa kuwa na kadi mbili au zaidi za wapiga kura wenye jina moja na mtaa mmoja (double voting)

Mambo kama hayo pia yanasaidia chama kujua watu.

SWALI KWA INEC na NIDA

kama Polepole ni muongo!

1.Wale wajumbe wa ccm wanaopitaga nyumba kwa nyumba kuomba namba ya nida wakati wa uchaguzi na pengine wanazo tayali kila kata huwa wanazichukua kwa ajili ya matumizi gani?

2. Kama Polepole ni muongo je INEC wapo tayari kurekebisha sheria za uchaguzi ili ziwe za uwazi na wasizuie mawakala kwenda na simu, camera siku ya uchaguzi kama walivyopitisha kanuni ya kupinga hayo? Kipi kinafichwa kama MIFUMO HAISOMANI?
Ukijibiwa hata kama watakufuata nyumbani usiache kuujuza umma wa JF
 
Hata Tume ya vyuo vikuu TCU na bodi ya mikopo imeungwa na NIDA sijui kwann wamekataa CCM haijaungwa wakati unapojisajili online katika chama cha mapinduzi wanataka uingize namba ya kitambulisho cha nida
 
Back
Top Bottom