Naomba hela (elfu 80) nitarudisha 85 baada ya wiki.

Naomba elfu 80 jamani nimekwama pleeeeease.
Nitarudisha 85 baada ya wiki
Weka vitu vifuatavyo(vyote ni lazima)

1. Cheti cha kula kiapo kutoka Kanisani/Msikitini
2. Cheti cha kuzaliwa
3. Barua ya uongozi kata/ kijiji
4. Kitambulisho cha kupigia kura
5. Leseni au kitambulisho cha uraia
6. Vyeti vya Elimu
7. Passport size 3
8. Pesa ya maombi shilingi 9,000/=

Fanya faster nikutumie pesa mda huu
 
Acha dharau
 
HR 666, ww ndugu yangu njoo nikupe ila uweke dhamana yenye thamani ya hiyo pesa
 
Kopa kwenye mitandao ya simu wanakopesha siku hzi kama unatumia huduma zao za kutuma na kupokea simu vyuma vimekaza hapa utatoka bilabila
Au kama una account CRDB kuna mtu alisema wanakopesha kupitia simu bila document yoyote
 
simu wanakopesha elfu tano tu
 
Jaribu huduma za mitandao unazotumia mfano tigo nivushe na M-pawa kwa voda, pia unaweza download app ya Tala na kuomba mkopo.
 
Jaribu huduma za mitandao unazotumia mfano tigo nivushe na M-pawa kwa voda, pia unaweza download app ya Tala na kuomba mkopo.
Tala ni wezi asijaribu kiwango cha kwanza ni elfu 10 cha pili elfu 20 cha tatu elfu 30 hapo zote unarudisha na riba..halaf hapo ndo mwisho ukitaka kukopa.zaidi wanakupa hadithi za bunuasi inakua imetoka hio
 
Hizii kwel dharau ...haya ndo majibu tunaykutana nayo kwa watu wanaoomba mikopo
 
Tala ni wezi asijaribu kiwango cha kwanza ni elfu 10 cha pili elfu 20 cha tatu elfu 30 hapo zote unarudisha na riba..halaf hapo ndo mwisho ukitaka kukopa.zaidi wanakupa hadithi za bunuasi inakua imetoka hio
Una uhakika na unachokisema???? Mimi the first time tu naanza walinipa 20,000 iweje useme kiwango cha kwnz ni 10k????
 
Hiyo 85,000/= ya kurejesha utaipata wapi huku ukiwa ni muhitaji ambaye kwa sasa huna hata cholo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…