Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Weka vitu vifuatavyo(vyote ni lazima)Naomba elfu 80 jamani nimekwama pleeeeease.
Nitarudisha 85 baada ya wiki
1. Cheti cha kula kiapo kutoka Kanisani/Msikitini
2. Cheti cha kuzaliwa
3. Barua ya uongozi kata/ kijiji
4. Kitambulisho cha kupigia kura
5. Leseni au kitambulisho cha uraia
6. Vyeti vya Elimu
7. Passport size 3
8. Pesa ya maombi shilingi 9,000/=
Fanya faster nikutumie pesa mda huu