Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Mmmhh! Wajanja hao wanataka email yako pamoja na account yako ya facebook na kitambulisho cha kupigia kulaMfano akipata hiyo ya Tala 20k, kama ana line za voda na tigo nako akapiga kila moja 20k atakuwa na jumla ya 60k
Cc Babra Hassan wa Clouds redio! Huyu ni mpiga debe wa Tala na Branch kumbe ni utapeli?Hakuna kitu kama hicho...sijasema muda wa kupitisha hapa nimesema unajiunga na kupewa elfu 10...hata kama unamshaur mleta mada atapata hio elfu 20 itamsaidia nini na anataka elfu 80+ ??
Hawana msaada wowote ...ukifika elfu 30 ndo basi hata kama unarudisha kwa wakat sasa nani apoteze muda na uhuni kama huo
Anaipigia debe kama vile ni mkopo wa benki..kumbe wanaanza na elfu ishirini na ukijaza tu elimu yako ni ya chuo hupewi pesa..Cc Babra Hassan wa Clouds redio! Huyu ni mpiga debe wa Tala na Branch kumbe ni utapeli?
Hahahahah! Yule mdada nishaanza kumwekea question mark! Kwa hiyo wanataka watu wa darasa la saba? Kuna kitu hapo.Anaipigia debe kama vile ni mkopo wa benki..kumbe wanaanza na elfu ishirini na ukijaza tu elimu yako ni ya chuo hupewi pesa..
Niliona mdau mmoja anasema ukijaza wewe elimu yako ni ya chuo wanagoma kukupa..ila babra kwa kusifia vitu aisee ni nomaHahahahah! Yule mdada nishaanza kumwekea question mark! Kwa hiyo wanataka watu wa darasa la saba? Kuna kitu hapo.
Ile kusifia napo pana walakin! Dalili ulaghai na utapeliNiliona mdau mmoja anasema ukijaza wewe elimu yako ni ya chuo wanagoma kukupa..ila babra kwa kusifia vitu isee ni noma