Naomba hela (elfu 80) nitarudisha 85 baada ya wiki.

Ok ipo ila vimashariti kidogo sana,naomba picha za passport size mbili,barua ya mtendaji yenye muhuri,wadhamini wawili wenye mashahidi wao wawili wawili, kitu chakuweka bond, bank statements za mwezi uliopita.
 
Acha dharau
 
Back
Top Bottom