Naomba hifadhi Dodoma

Naomba hifadhi Dodoma

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
247
Habari wapendwa!!
Natumaini mko salama kabisa, Ndugu zangu mimi nimeitwa Dodoma kwa ajili ya usaili/interview lakini sasa changamoto ni Makazi maana kifedha niko vibaya sana nauli yenyewe Naunga unga tu, ili nifike nijaribu Bahati Yangu, hivyo naomba mwenye msaada wa kunihifadhi ili nikifika nifanye interview baada ya hapo ,nikae kae nitafute nauli ya kunirudisha ,Mimi ni kijana (Mwanaume) Mwenye miaka 25 dini Yangu Mkristo (msabatho)
No ya simu 0768464901
Mungu awabariki sana
 
unatokea wapi kuja hapa dodoma, interview ni lini?
 
Habari wapendwa!!
Natumaini mko salama kabisa, Ndugu zangu mimi nimeitwa Dodoma kwa ajili ya usaili/interview lakini sasa changamoto ni Makazi maana kifedha niko vibaya sana nauli yenyewe Naunga unga tu, ili nifike nijaribu Bahati Yangu, hivyo naomba mwenye msaada wa kunihifadhi ili nikifika nifanye interview baada ya hapo ,nikae kae nitafute nauli ya kunirudisha ,Mimi ni kijana (Mwanaume) Mwenye miaka 25 dini Yangu Mkristo (msabatho)
No ya simu 0768464901
Mungu awabariki sana
WASABATO NJOONI MUMSAIDIE NDUGU YENU HAPA.
 
Munger wangu ni Joseph kasheku Msukuma
NGOJA TUMTAFUTE AKUTUMIE NAULI NA HELA YA GUEST, tatizo alikuwa anatumia simu ya kitochi sijui kama ana smartphone.

Ila kama unajiamini nenda kwenye ofisi ya mbunge hapo Geita onana na KATIBU WA MBUNGE atakusaidia kuongea na Mh. Msukuma.
 
Back
Top Bottom