WASABATO NJOONI MUMSAIDIE NDUGU YENU HAPA.Habari wapendwa!!
Natumaini mko salama kabisa, Ndugu zangu mimi nimeitwa Dodoma kwa ajili ya usaili/interview lakini sasa changamoto ni Makazi maana kifedha niko vibaya sana nauli yenyewe Naunga unga tu, ili nifike nijaribu Bahati Yangu, hivyo naomba mwenye msaada wa kunihifadhi ili nikifika nifanye interview baada ya hapo ,nikae kae nitafute nauli ya kunirudisha ,Mimi ni kijana (Mwanaume) Mwenye miaka 25 dini Yangu Mkristo (msabatho)
No ya simu 0768464901
Mungu awabariki sana
Natokea Mkoani Geita
Huku si ndiyo mlituletea Magufuli?Natokea Mkoani Geita
Hawapokei simu zangu!!!!
Namkumba sana Hayati JPM
Nani mbunge wako?Natokea Mkoani Geita
Hahahaaa...ana ushujaa gani sasa huyo boya?Ndio shujaa wa Africa 🌍
Huyu jamaa amejenga kisasa bonge la nyumba mtafute fasterMunger wangu ni Joseph kasheku Msukuma
NGOJA TUMTAFUTE AKUTUMIE NAULI NA HELA YA GUEST, tatizo alikuwa anatumia simu ya kitochi sijui kama ana smartphone.Munger wangu ni Joseph kasheku Msukuma
WASABATO NJOONI MUMSAIDIE NDUGU YENU HAPA.