Nenda bungeni kamtafute utampataHawapokei simu zangu!!!!
Namkumba sana Hayati JPM
Imebidi nije kweny huu Uzi mwamba anatuambia anapanda ndege hahahaNani mbunge wako?
ulimsaidia?Ulifanikiwa?
Huu uzi nimeuona leo ndio namuuliza. Kuna ubaya?ulimsaidia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa...ana ushujaa gani sasa huyo boya?