SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Wewe upo kwenye hili group nawewe ni kitoto kimoja kisichokuwa na adabuuki wahishwa uta pona tu, Jitahidi kunywa dawa kwa wakati
da mkubwa niajee, shwanga kabisaWewe upo kwenye hili group nawewe ni kitoto kimoja kisichokuwa na adabu
Facebook ndo mahali sahihi kupeleka malalamiko haya.Kuna wanawake wanajiona sana matawi nyuma ya hizi profile zetu wanatukana wanawake wenzao .
Huna haya kwanza wewe unanguvu sana zakuwaandama wenzako .
Nahuku wewe mwenye unashida huna hata marafiki ,ndugu wamekutelekeza .
MTu anaid za mia mbili kisa kujibu wenzake kunya nakuwasumbua.
Hao niwanawake .
Wanaume
Humu hakuna malaya na kama wapo ninyie mmewawekea hilo jina .
Jamani mkija PM sio sex mtu anawaza anatafuta mwanaume anayejiheshimu kama unaupwiru wako peleka kwa malaya wenzako .
Watu ni watu wazima na wanataka watu wenye akili sio malaya nakupotezeana muda .
Makundi
Kuna vimakundi vya kipuuzi kuna vizee ,watoto,vijana ,vimama na vihongwe komeni kuwatafuta watu humu kwa maana kila mtu anakuja kula good time.
JamiiForums sio yenu.fungueni yenu,
Msumbue watu tokea 2019 hadi 2025 hamjachokatu kufuatilia watu .
Hamjazeeka tu hadi msaahau JF .
Mnakera nyie ndio mnajuaga kila kitu cha humu cha nje cha wapi.
Mnawaona wengine hawajielewi nyie mnajielewa . Mnachosha .
Hebu heshimuni wenzenu na hakuna mtu mnamlisha hadi muone ni watu wakushushiwa heshima.
no baby girl will be virgin,as long as I'm working as a midwife.I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Sawa ila tuheshimiane mnawaona sana wadada ni malaya na huku hmna msaada wowoteFacebook ndo mahali sahihi kupeleka malalamiko haya.
Wewe hili group upo unatoka na kuingia
Wewe kapilipili ita group yako yote ya watoto wenzako maana hata kisu hakijapita kwenye hivyo vidudu vyenuda mkubwa niajee, shwanga kabisa
Hakuna kitu kwanza umeunblokiwa liniNashukuru uongozi wa Jf kuruhusu tutumie anonymous I'd , vinginevyo wanawake wa Jf wangenigombania sana
Yes, wanaume hawa humu ni wapuuzi wanaona wanawake ni malaya wana weza kuwapunguzia upwiru sio wakuwaoa nakutulia nao.Kitalaam hii inaitwa "kutapika nyongo"
na uwe ume kula Sasa, la sivyo uta tema bungoππKitalaam hii inaitwa "kutapika nyongo"