Una undugu na baby cand wa Dully sykes ?Kuna wanawake wanajiona sana matawi nyuma ya hizi profile zetu wanatukana wanawake wenzao .
Huna haya kwanza wewe unanguvu sana zakuwaandama wenzako .
Nahuku wewe mwenye unashida huna hata marafiki ,ndugu wamekutelekeza .
MTu anaid za mia mbili kisa kujibu wenzake kunya nakuwasumbua.
Hao niwanawake .
Wanaume
Humu hakuna malaya na kama wapo ninyie mmewawekea hilo jina .
Jamani mkija PM sio sex mtu anawaza anatafuta mwanaume anayejiheshimu kama unaupwiru wako peleka kwa malaya wenzako .
Watu ni watu wazima na wanataka watu wenye akili sio malaya nakupotezeana muda .
Makundi
Kuna vimakundi vya kipuuzi kuna vizee ,watoto,vijana ,vimama na vihongwe komeni kuwatafuta watu humu kwa maana kila mtu anakuja kula good time.
JamiiForums sio yenu.fungueni yenu,
Msumbue watu tokea 2019 hadi 2025 hamjachokatu kufuatilia watu .
Hamjazeeka tu hadi msaahau JF .
Mnakera nyie ndio mnajuaga kila kitu cha humu cha nje cha wapi.
Mnawaona wengine hawajielewi nyie mnajielewa . Mnachosha .
Hebu heshimuni wenzenu na hakuna mtu mnamlisha hadi muone ni watu wakushushiwa heshima.
Kontawa ndio wale mashoga wa Kinondoni ?Mi ni kontawa hawawezi kuniweka kizuizini muda mrefu nimeshinda kesi
Babe! acha ugomvi..Another innocent neck carrying an empty head with no brain from the product of unsuccceful arbotion and expired p2 from unknown chemist with the m kopa phone on the wrong hand..!! ๐น๐น๐น
Sema halaaaaah.!! ๐คฃ๐น
PSL god chupa lishaamka na chai..
Ndo wale vibenten mamaako anaowapendaKontawa ndio wale mashoga wa Kinondoni ?
Kuna mtu kakatiza hapa mbele yangu, ana mtako mkubwa kama wako.Ndo wale vibenten mamaako anaowapenda
Kasahau kidogo ๐Mbona na wewe unafanya kama hao wadada?
Ndoa ina tafutwa bi mkubwa ๐Huko PM unaenda kufanya nini? Sasa hivi wanaume tunataka wa huku huku mtaani, achana na wa huku jf
Au siyo?Kuna mtu kakatiza hapa mbele yangu, ana mtako mkubwa kama wako.
Kama upo hapa leo hapalalikiAnother innocent neck carrying an empty head with no brain from the product of unsuccceful arbotion and expired p2 from unknown chemist with the m kopa phone on the wrong hand..!! ๐น๐น๐น
Sema halaaaaah.!! ๐คฃ๐น
PSL god chupa lishaamka na chai..
Mambo vipi kaka nitumie tafsiri ya hqya maneno PM nimtumie mtendaji wa kijiji kwa kingereza ili nimkomoe kaniboaI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
๐น๐น๐นKama upo hapa leo hapalaliki
Una muacha mau na nani?๐น๐น๐น
Ngoja niondoke..!!
Anza taratibu sasautanifunza sababu nafunzika๐
๐๐๐๐ Daaaah sawaAnza taratibu sasa