Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 269
- 121
Naomba idadi ya bati kulingana na ramani hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka floor plan na vipimo vyake ndo unaweza saidiwa idadi ya bati
Weka floor plan na vipimo vyake ndo unaweza saidiwa idadi ya bati
Mkuu mbona bati nyingi sana?Bati walau bando 12
Misumari ya bati pakti 25
Misumari 4" kgs 30
Misumari 5" kgs 35
Mbao 2x2 pcs 270
Mbao 2x4 pcs 290
Kenchi wire pcs 15
Fisher board mbao 28
Sawa mkuuAngalia ramani ya hiyo nyumba na utagundua ina room kama nne za kulala.
Inaonekana ina bafu 2, choo 2, jiko, dining, seating na veranda mbili zilizo changamka
Bati walau bando 12
Misumari ya bati pakti 25
Misumari 4" kgs 30
Misumari 5" kgs 35
Mbao 2x2 pcs 270
Mbao 2x4 pcs 290
Kenchi wire pcs 15
Fisher board mbao 28
Kwani bando 12 ni bati ngapi? Maana nijuavyo, idadi ya bati kwenye bando inategemea na geji ya bati... Geji 30, bando lina bati 16. Geji 28, bando lina bati 12Unamanisha bati 144,hapana hapa bati hazitazidi 110 na hata mbao bado ni nyingi ,ni vyema mtoa mada ukatafuta fundi akufanyie vipimo akupe estimation
Angalia ramani ya hiyo nyumba na utagundua ina room kama nne za kulala.
Inaonekana ina bafu 2, choo 2, jiko, dining, seating na veranda mbili zilizo changamka
Kinachoangaliwa ni nyumba ina room nne au ukubwa wa hivyo vyumba ? nyumba inaweza kua na room nne na bado ikawa ndogo hii haijazidi hata sqm 160 watu wanapaua 16 by 14 kwa bati 107 itakua hii ya wastan
CalculatingNaomba idadi ya bati kulingana na ramani hii.
View attachment 2126043
View attachment 2126045
View attachment 2126069
Bati 75hadi 80 lakini hazizidi. Inabidi ujue kila upande wa paa una vipimo gani.. hauwezi tumia square area ya kuta sababu bati zina slopeNaomba idadi ya bati kulingana na ramani hii.
View attachment 2126043
View attachment 2126045
View attachment 2126069
Hapo kwa haraka haraka 110 ila vipande vitabaki vingi sanaNaomba idadi ya bati kulingana na ramani hii.
View attachment 2126043
View attachment 2126045
View attachment 2126069
Bati walau bando 12
Misumari ya bati pakti 25
Misumari 4" kgs 30
Misumari 5" kgs 35
Mbao 2x2 pcs 270
Mbao 2x4 pcs 290
Kenchi wire pcs 15
Fisher board mbao 28