Naomba idadi ya bati kulingana na ramani hii

Naomba idadi ya bati kulingana na ramani hii

Mkuu sorry kwann iyo public toilet uliihamishie kati yaan between iyo roomz2 ambazo sio master
 
Mkuu Mapondo Mapoka mrejesho wa bati na mbao ikikupendeza utu-inspire na wengine tupambane wenye boma la kufanana na Hilo lako.
Nitashukuru.🙏
 
Mkuu Mapondo Mapoka mrejesho wa bati na mbao ikikupendeza utu-inspire na wengine tupambane wenye boma la kufanana na Hilo lako.
Nitashukuru.🙏
Nilifeli kujenga kwa ramani hii,ila niliishia kujenga nyumba ya vyumba viwili kwa ramani inayokaribia kufanana na hiyo ambapo yenyewe niliondoa dining pamoja na single room moja ikabaki master, single moja na jiko ila public toilet ili kakaa nje.

Bati zilikua 72 ,ila mbao sikumbuki vizuri kwan niliungauga sana
 
Yangu inafanana na hiyo ramani kiasi fulani amenishauri ninunue bati 70 za m3 kwa 1m na kofia amenishauri ninunue bati 10 za mistari midogo zikatwe kutengeneza kofia na valley upande wa mbao ameshauri nitumie mbao za 2x3 tu kiasi cha sizozidi mbao 200 kupunguza uzito.
 
Back
Top Bottom