Wewe Ke hujaelewa maada au? Teta kidogoKila la kheri
Sasa kama Mtaani hatuwaoni si bora tujaribu kwenye mitandao. Huwa hatuwaoni.Kwanini mnatukataa mtaani halafu mnakuja kutafuta mtandaoni?
Kwani wa mtandaoni ndio wazuri.?
Njia nyingi humchanganya mwenye safari, ukitakata yote kwa pupa utakosa yote ,Chunguzi nyingi zinasema mahusiano yanayo anzishwa mitandaoni yanadumu mda mrefu kulinganisha na yale ya kukutana mtaani, kazini, shuleni, nk.
Wigo wa kutafuta ni mpana maana unakutana na kila aina ya watu.
Hapo kwenye mtaka zote kwa Pupa atakosa yote. (Sijakuelewa)Njia nyingi humchanganya mwenye safari, ukitakata yote kwa pupa utakosa yote ,
Hebu thibitisha hoja zako hizo japo hata kwa kihenga.
Na utupe mrejesho wa hizo namma zote kama zimekuletea matunda.
Nimeandika hiyo hoja ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ,nikiwa na maana kuwa ,kwa kuangazia hizo wigo nyingi za kukutana zinaweza kutuchanganya.Hapo kwenye mtaka zote kwa Pupa atakosa yote. (Sijakuelewa)
Kwasababu mimi sio mhenga nitapenda kuchangia zaidi kulingana na wakati wangu.
Siwezi kutoa experience yangu hapa sababu nitakuwa natoka nje ya dhumuni la mwenye uzi. Ameuliza swali hajauliza tutoe ushuhuda.
Why online love is more likely to last
Chunguzi nyingi zinasema mahusiano yanayo anzishwa mitandaoni yanadumu mda mrefu kulinganisha na yale ya kukutana mtaani, kazini, shuleni, nk.
Wigo wa kutafuta ni mpana maana unakutana na kila aina ya watu.