Naomba jibu kuhusu swala hili, hasa kwa KE waliopo kwenye jukwaa hili.

Naomba jibu kuhusu swala hili, hasa kwa KE waliopo kwenye jukwaa hili.

Nimeandika hiyo hoja ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ,nikiwa na maana kuwa ,kwa kuangazia hizo wigo nyingi za kukutana zinaweza kutuchanganya.
Hoja na madhumuni ikiwa nikutaka kupata(frame) njia ambayo ni sahh zaidi haswa kwenu jinsia Jirani maana inaonekana hii ya kukutana huko mtaani hamuikubali that's y mnatafuta wa mtaandaoni.
Which is more powerfully way to Go thy? zaidi ya hii ya kukutana na kutoa ya moyoni .
Asante kwa kunielewesha.

Suala hili lipo kwa jinsia zote mbili ni vile tu hapa tunajibu sisi watoto wa kike.

Mambo mengi yanabadilika.
Tukubali kwenda na mabadiliko.
 
Samahani,

Tunaweza fahamu mifano hai ya hizo chunguzi kinagaubaga

Asante
Hapo tutakuwa tunatoka nje ya maudhui ya mwenye mada.
Unaweza kuanzisha uzi juu ya hiyo mifano unayotaka kuifahamu.
 
Asante kwa kunielewesha.

Suala hili lipo kwa jinsia zote mbili ni vile tu hapa tunajibu sisi watoto wa kike.

Mambo mengi yanabadilika.
Tukubali kwenda na mabadiliko.
Maoni yako ni yapi? ,mtatusikiliza huku mtaani au mtaendelea kututafuta kwa njia za kidijtal
 
mkuu tatizo ulipate mtaani ,suluhu upate mitandaoni kweli hii inawezekana??* Japo na mimi ni mmoja wa kuhitaji mwanamke wakuowa, Ukweli mikwamba humu hakuna mwana mke, Humu wote ni wanaume tupu!!" Hao Uwaonao ni ma pcha pcha tu!" Walio wengi humu ni wafanya biashara, wengine easaka mitaji, sasa wewe jikoki ....yakutokee puwan.
 
Kwani mkuu aisha unayemtongoza mtaani ndiye Aisha anayeweka tangazo jf?
 
mkuu tatizo ulipate mtaani ,suluhu upate mitandaoni kweli hii inawezekana??* Japo na mimi ni mmoja wa kuhitaji mwanamke wakuowa, Ukweli mikwamba humu hakuna mwana mke, Humu wote ni wanaume tupu!!" Hao Uwaonao ni ma pcha pcha tu!" Walio wengi humu ni wafanya biashara, wengine easaka mitaji, sasa wewe jikoki ....yakutokee puwan.
Vitunguu vimeisha?
 
Habari wanajamii.
Huku mtaani tukijaribu kujiweka karibu nanyi ili kuanzisha mahusiano yanayoweza kupelekea ndoa mnatuona hatuna maana kabisa.

Lakini mnakuja kutafuta marafiki Jf na kwenye mitandao mingine,kwanini msitukubali huku mtaani au mnategemea miujiza kwenye mitandao.

Binafsi nashindwa kuelewa maana natamani kupata mke mwema ila nifahamiane nae mtaani sio mtandaoni,maana hapa inakuwa shida kutambua muonekano wa mrembo husika.
sir you are living in "stone age mentality" its like saying why dont we use donkeys to travel from dar to kigoma like before instead of using a plane, things have changed, looking or finding a life partner on these forums is a part of the change the world has gone or is going thro, and if i may ask you how far did you go in formal education sir
 
Kwanini mnatukataa mtaani halafu mnakuja kutafuta mtandaoni?
Kwani wa mtandaoni ndio wazuri.?
Hujakataliwa wewe,tafuta mwanamke umpendae kisha peleka posa uone kama itakataliwa....usitake kuonjaonja.

Nyongeza.[emoji116]

Huku mitandaoni kuna mchanganyiko,%80 ya wanawake hawachagui mapenzi na wala hawachagui kustiriwa'na ndio maana wanakimbilia huku kuchagua mume kama Embe,Wanawake wakumbuke kuwa" sifa ya kuoa anayo mwanaume na si mwanamke"mwanamke anaweza kumchagua mume tu pale akimuona na akavutiwa nae anaruhusiwa kumwambia kuwa anampenda ila kama mume haridhiki halazimiki kumuoa.

Na kwa kuwa mahali anatoa mume basi yeye ndie mwenye mamlaka zaidi.

Yeye ana shida ya kuolewa anaweka mashart meeengi mpaka unashangaa"cha msingi asichague saana,ukiona mashart ni mengi na ndoa pia itakuwa ngumu.

Ndoa inashikiliwa na Mume,mume atamwambia mke Mimi Niko hivi na sitaki hivi na sio kama ilivyo sasa mke yeye ndio anataka aishikilie ndoa maana yake hapo,ndoa kuna dalili ya kuwa na migogoro huko mbeleni.

NB:
Siku zote ndoa inatakiwa iwe nyepesi hata kwenye mahari.

Na asili ya ndoa ni misukosuko na hata MUNGU anajua hilo.

Cha msingi wote muwe na sifa ya kuwa waumini wa dini wa kweli na vitendo.
 
Back
Top Bottom