Asante kwa kunielewesha.Nimeandika hiyo hoja ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ,nikiwa na maana kuwa ,kwa kuangazia hizo wigo nyingi za kukutana zinaweza kutuchanganya.
Hoja na madhumuni ikiwa nikutaka kupata(frame) njia ambayo ni sahh zaidi haswa kwenu jinsia Jirani maana inaonekana hii ya kukutana huko mtaani hamuikubali that's y mnatafuta wa mtaandaoni.
Which is more powerfully way to Go thy? zaidi ya hii ya kukutana na kutoa ya moyoni .
Hapo tutakuwa tunatoka nje ya maudhui ya mwenye mada.Samahani,
Tunaweza fahamu mifano hai ya hizo chunguzi kinagaubaga
Asante
Maoni yako ni yapi? ,mtatusikiliza huku mtaani au mtaendelea kututafuta kwa njia za kidijtalAsante kwa kunielewesha.
Suala hili lipo kwa jinsia zote mbili ni vile tu hapa tunajibu sisi watoto wa kike.
Mambo mengi yanabadilika.
Tukubali kwenda na mabadiliko.
Binafsi yangu popote pale, kulingana na mazingira yangu.Maoni yako ni yapi? ,mtatusikiliza huku mtaani au mtaendelea kututafuta kwa njia za kidijtal
Anataka umpende akupendeSamahani swali hapo ni nini?
Vitunguu vimeisha?mkuu tatizo ulipate mtaani ,suluhu upate mitandaoni kweli hii inawezekana??* Japo na mimi ni mmoja wa kuhitaji mwanamke wakuowa, Ukweli mikwamba humu hakuna mwana mke, Humu wote ni wanaume tupu!!" Hao Uwaonao ni ma pcha pcha tu!" Walio wengi humu ni wafanya biashara, wengine easaka mitaji, sasa wewe jikoki ....yakutokee puwan.
sir you are living in "stone age mentality" its like saying why dont we use donkeys to travel from dar to kigoma like before instead of using a plane, things have changed, looking or finding a life partner on these forums is a part of the change the world has gone or is going thro, and if i may ask you how far did you go in formal education sirHabari wanajamii.
Huku mtaani tukijaribu kujiweka karibu nanyi ili kuanzisha mahusiano yanayoweza kupelekea ndoa mnatuona hatuna maana kabisa.
Lakini mnakuja kutafuta marafiki Jf na kwenye mitandao mingine,kwanini msitukubali huku mtaani au mnategemea miujiza kwenye mitandao.
Binafsi nashindwa kuelewa maana natamani kupata mke mwema ila nifahamiane nae mtaani sio mtandaoni,maana hapa inakuwa shida kutambua muonekano wa mrembo husika.
Hujakataliwa wewe,tafuta mwanamke umpendae kisha peleka posa uone kama itakataliwa....usitake kuonjaonja.Kwanini mnatukataa mtaani halafu mnakuja kutafuta mtandaoni?
Kwani wa mtandaoni ndio wazuri.?