uru classic Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 120 Reaction score 15 Oct 9, 2014 #1 Mke wangu ana ujauzito,ameenda hospitali amepimwa kama ilvyoada,amepewa majibu yote,isipokua ya vvu,ameambiwa paka mimi niwepo.je ni sawa yeye kunyimwa majibu paka mimi ni wepo?mimi npo mbali kdogo namuuguza mama,hvyo cjapata mda wa kuambatana nae.
Mke wangu ana ujauzito,ameenda hospitali amepimwa kama ilvyoada,amepewa majibu yote,isipokua ya vvu,ameambiwa paka mimi niwepo.je ni sawa yeye kunyimwa majibu paka mimi ni wepo?mimi npo mbali kdogo namuuguza mama,hvyo cjapata mda wa kuambatana nae.
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 196 Oct 9, 2014 #2 sjui kama ni sawa au si sawa sijawah kushika ujauzito ila ndo uwahi kuja mwenzio apewe majibu