uru classic
Senior Member
- Aug 25, 2013
- 120
- 15
Mke wangu ana ujauzito,ameenda hospitali amepimwa kama ilvyoada,amepewa majibu yote,isipokua ya vvu,ameambiwa paka mimi niwepo.je ni sawa yeye kunyimwa majibu paka mimi ni wepo?mimi npo mbali kdogo namuuguza mama,hvyo cjapata mda wa kuambatana nae.