inawezekana tumbo lake lina gesi au si mlaji mzuri wa matunda pamoja na kutokunywa maji mengi!
mimi ningemshauri atafute dawa za kuharisha (kusafisha tumbo) za tiba mbadala ili kusafisha na kufungua choo....nenda kwenye maduka ya madawa asili nunua majani ya "msanamaki" na kama ukikosa nunua "haluli" ukiulizia hayo majina lazima utapata hizo dawa!
nunua moja kkati ya hizo...watakuelekeza jinsi ya kutumia...ukichemka nitext!!!
choo kitafunguka...