Tozeshai Kiagha
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 210
- 65
Rafiki yangu ana tatizo la kuumwa tumbo muda mrefu na anasema akienda haja kubwa choo chake kinafanana na cha mbuzi...je tatizo ni nini? Na atumie dawa gani...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana tumbo lake lina gesi au si mlaji mzuri wa matunda pamoja na kutokunywa maji mengi!
mimi ningemshauri atafute dawa za kuharisha (kusafisha tumbo) za tiba mbadala ili kusafisha na kufungua choo....nenda kwenye maduka ya madawa asili nunua majani ya "msanamaki" na kama ukikosa nunua "haluli" ukiulizia hayo majina lazima utapata hizo dawa!
nunua moja kkati ya hizo...watakuelekeza jinsi ya kutumia...ukichemka nitext!!!
choo kitafunguka...