pombesichai254
New Member
- Sep 3, 2022
- 3
- 1
habari
wakuu ni matumaini yangu ni wazima kwa majina naitwa KELVIN GODFREY
jinsia ni mwanaume wa miaka 25, ni nimhitimu kozi ya kilimo na mifugo (diploma).
Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba wezekunipa ata kama ndo inaanza au ya kuanzisha
UZOEFU WANGU WAKAZI
Nina zaidi ya miaka miwili nimefanya kazi kwenye mashamba ya korosho singida.
Pia nina zaidi ya mwaka na nusu nafanya kazi kwenye ufugaji wa kuku kibiashara ( kuku wa nyama na mayai) na miradi ya nguruwe.
UWEZO WANGU WA KUFANYAKAZI
nina uwezo wa mkubwa na kutosha kufanya kazi kwa vitendo kwa mazingira rafiki
Mawasiliano tafadhari ni DM