The Night Walker19
Member
- Aug 19, 2020
- 66
- 55
Vipi mkuu ipo?Sawa
Daaah ningekuwa huko ningefika kirahisi ila kwasasa changamoto iliyopo ni uchumi ndugu.....ila shukran kwa taarifa mkuukuna kiwanda kinaitwa A to Z kipo Arusha nakushauri uende ukajaribu bahati yako huko
Pamoja sana ila pale ajira ni uhakika na wanalipa vizur kwa wakatiDaaah ningekuwa huko ningefika kirahisi ila kwasasa changamoto iliyopo ni uchumi ndugu.....ila shukran kwa taarifa mkuu
pamoja sana ila pale ajira ni uhakika na wanalipa vizur kwa wakati
Kwani ni kiwanda cha nini mkuuSio kweli unamdanganya mwenzako.
Elfu 6 kwa siku ndio kulipa vizuri?
Sasa mtu aliyetoka mkoa mwingine ataishi vipi hali ya kuwa huko ni mgeni!
Kwani ni kiwanda cha nini mkuu
Usisahau pia unaanza kujitolea kwa siku kumi kwanza ndo uje ulipwe huko badae hahaaa yaani wahindi wale ni wanyonyaji mno imagine ellfu 6 kazi ya kufanya kuanzia saa 12 mpk 12 jioni dah!Sio kweli unamdanganya mwenzako.
Elfu 6 kwa siku ndio kulipa vizuri?
Sasa mtu aliyetoka mkoa mwingine ataishi vipi hali ya kuwa huko ni mgeni!
Usisahau pia unaanza kujitolea kwa siku kumi kwanza ndo uje ulipwe huko badae hahaaa yaani wahindi wale ni wanyonyaji mno imagine ellfu 6 kazi ya kufanya kuanzia saa 12 mpk 12 jioni dah!
OkNeti za mbu,plastics/chupa