Caisel
New Member
- Jan 17, 2021
- 1
- 1
Naitwa Omari Juma napatikana Mtwara, Nanyumbu, Mangaka elimu yangu ni ya sekondari lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo. Naomba mtu yeyote mwenye kazi anisaidie ili niweze kuishi kama vijana wengine naomba sana msaada wenu.
Nimefikia hatua ya kuandika hii leo hapa kutokana na ugumu wangu wa maisha na mimi ndio kiungo katika familia yangu nilifanikiwa kujisomesha sekondari kwa muda wa miaka mitatu lakini nilishindwa kukamilisha masomo yangu kutokana na kufeli harakati zangu.
Naomba mnisaidie niweze kusaidia wazazi nyumbani wapate hata kula siwezi kuomba msaada wakati mimi ni mzima wa afya na nina nguvu zote naomba nisaidiwe kazi.
🙏🙏🙏