Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

Joined
Oct 20, 2019
Posts
41
Reaction score
55
Habari ndugu,

Mimi ni mtumishi wa umma. Nimefukuzwa kazi na mwajiri wangu. Sikuafiki maamuzi kwakuwa nimeonewa nimekataa rufaa Tume.

Najitokeza kwemu kuomba kazi ili niweze kuendesha Familia na kulipa kodi ya nyumba maana napitia magumu, sina biashara yoyote na mtaji ndomana natafuta kazi niweze kujikimu.
 
Ulikuwa kada Gani!?
 
Polesana omba Mungu akupe moyo wa ujasiri ili uweze kujipambania kipindi hiki kigumu naamini utavuka tu ikiwa utatambua thamani yako na kusudi la Mungu kwako.
Kumbuka maisha sio kuajiriwa tu wapo waliojiajiri na wanaishi vema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…