Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Ndio maana nikasema waambie kuwa haukupewa RUSHWA bali ulipewa BAKSHISHIuhakika unaotaka wewe ni upi? Shtaka linasema hivyo kupewa shukrani ya Tshs elfu 10 kama ingekuwa rushwa walipaswa kuandika rushwa. Na rushwa ni hela ya kuomba hiyo sikuomba jua hivyo
Mungu akutie nguvu, uvuke huo mtihani salama.Asante ndugu nikweli usemacho nawakati mgumu sana kaka si Familia huwenda ningejizuru
Okay nimekuelewaNdio maana nikasema waambie kuwa haukupewa RUSHWA bali ulipewa BAKSHISHI
Kukimbia kivipiKakimbia mtumishi
Asante kwa maneno ya Faraja kiongozi. UbarikiweMungu akutie nguvu, uvuke huo mtihani salama.
Suala la kujidhuru sio zuri hata kidogo.
Unaweza kuona ndege wa Angani ambao hawalimi wala kuvuna lakini wana kula na kusaza,
Wewe ni bora kuliko hao, najua Mungu kama alifanikisha kupata ajira hiyo ya Mwanzo hawezi kushindwa kukupatia nyingine iliyo bora zaidi.
Amen Mkuu🙏Asante kwa maneno ya Faraja kiongozi. Ubarikiwe
OkHumu utaishia kupewa pole tu, hakina mwajiri humu Wala wa kukupa mchongo
DuhHapana bro hata mimi zamani nilikuwa nikiamini hivyo mpaka yaliponikuta. Sikuwa mtoro wala kutenda yasiyofaa. Kosa langu ni moja tu kupewa elfu 10 na mteja niliyemuhudumia akirizishwa na huduma niliyotoa.
Utumishi wa umma ukifukuzwa kazi inaanzia Tume ya utumishi kupeleka rufaa. Kabla ya mahala pengineNenda kwenye chama chako cha wafanyakazi kuwaeleze kutoridhika na maamuzi ya mwajiri wako na sababu iliyopelekea yote hayo.Watakupa ushauri ikiwezekana hata kukugharamia kufungua uendeshaji wa kesi
Nina saidia pale napoweza kwahiyo hoja yako haina mashiko subiri ukipata swahibu utajua maana ya kuomba msaadaUza ulicho nacho uanze upya, hakuna msaada kama hujawahi saidia.
Kama hujanielewa hutaelewaNina saidia pale napoweza kwahiyo hoja yako haina mashiko subiri ukipata swahibu utajua maana ya kuomba msaada
🙏Kama hujanielewa hutaelewa