Naomba kazi St Peters. Vigezo vyangu ni hivi hapa

Naomba kazi St Peters. Vigezo vyangu ni hivi hapa

MImi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka kati ya 30-40. Sasa nimekua nikisikia kua St Peters kuna watu wazito ingawa kwa kukadiria itakua ni watu wa usalama hivyo nilikua naomba kazi hapo

Wasifu
-Elimu ya degree yenye GPA yenye mgawanyo wa nusu kwa nusu na total GPA(5)

-Nidhamu kidogo hapa kuna changamoto..kuhusu busara sina kabisaaaa..napenda utekelezaji tu..yani jambo likitakiwa kufanyika hivi liwe hivyohivyo sio kubembelezana hadi kila mtu akubali au aelewe kwa wakati huo

-Tabia za kihuni ninazo na nimebobea kiasi..hivyo nikipewa nafasi haswa za field nitafurrahi sana ili ku deal na wahuni wa aina yeyote.(Ingawa labda nidhamu ndio kipaombele chenu)

-LA MWISHO..MIMI NI MZALENDO HATA NIKILAMBISHWA JABA LA ASALI NA VIDALI VYA KUKU VILIVYONONA..

AHSANTE

NAMAANISHA
Unajua kukatika!?
 
Back
Top Bottom